FAHAMU FAIDA ZA MSHUBIRI.

*FAHAMU KUHUSU SIRI YA MSHUBIRI FAIDA NA MATUMZI YAKE KATIKA DAWA ZA ASILI*


KUWA makini katika usomaji wako hakikisha unasoma kwa utaratibu ili kupata maarifa zaid. Kuna shubiri nyekundu na shubiri ya kijani ninayoiongolea hapa ni shubiri ya kijani. Ninaouzungumza ni shubiri angalia picha, kwa kifupi huitwa shubiri mwitu. Shubiri ndio aloe vera kwa kizungu


🧠Mti huu hutibu maradhi mengi sana katika mwili wa mwanaadamu ukichukua jani la mshubiri ukilata huku shinani linatoa utomvu wa njano na ukilikata mkiani linatoa utomvu mweupe wenye muonekano kama maji mazito. Ule utomvu wa njano huanikwa na kitengenezwa kuwa unga uanikaji wake na utengenezaji wake ni wa kitaalam kidogo na hata matumizi yake yapo katika tiba zaid za masuala ya maupozi na shughuli za dawa ya mambo mengine haya nitayazungumza kwenye group.


🌍Ila unga wake huo wa shubr ambao huwa katika hali unjano au weusi hutumika kwa watu wenye matatioz ya kutopata choo weka kidogo sana kwenye maji vugu vugu kisha kunywa.


⭐Ule utomvu mweupe ukiuvuna hutumika kutibu maradhi ya vidonda vya tumbo tumia kula vjko viwil vya chakula mara mbili kwa siku ndan wiki au zaidi.


💦Mti huu hutibu maradhi ya mapunye kwa watoto na watu wazima. Chukua jani lake lipashe moto kama ugonjwa upo kichwan hakikisha unanyoa nywele zote kisha pakaa maji yake baada ya kupasha moto. Kama ugonjwa upo mwilini pakaa pia humaliza utangotango paka sehemu iliyoathirika.


Hutoa michirizi kwa watu wanene ile michirizi ya mimba na mengine pakaa maji yake changanya na mafuta ya zaituni na chumvi.


*Kwa malaria sugu isiyokoma*


chukua majani mawili ya aloevera 'shubiri' yaliyokomaa kata vipande vidogo vidogo kisha changanya na maji ya uvuguvugu   


  kisha saga kwa blenda au twanga kwa kinu ukimaliza waweza chukua yale matokeo yaani juic uliyosaga ukaitia ktk jagi na kisha kuchanganya na maji ya kawaida hadi kufikia kujaa lile jagi waweza hifadhi kwenye friji na kunywa kila cku vkombe vtatu mpaka vinne kwa muda wa siku tano mpaka saba   


Hii inatibu malaria sugu inazbua mishipa ya damu pia inatoa sumu mwilini 


Ila hairuhusiwi kwa watoto wadogo na wajawazito.. *Hapa panahitaji ushauri wa daktari*


Wanawake wenye matatizo ya kuwashwa sehemu za siri kwa muda mrefu hali iliyosababisha kuvmba au malengelenge


Kata vipande vidogo vidogo kisha chemsha kwenye maji lita moja na nusu iache ichemke mpaka maji yaanze kupungua. Tumia kuchambia eneo husika.


*Fanya mara mbili kwa sk ndan ya juma zima*


*Zingatia kujikausha kwa nguo kavu usipende kuvaa chupi nyeusi kwa muda mrefu.*


Mti husaidia kinga kwa wafugaji wa kuku kwa maradhi km kideri na mengine huchanganywa kwenye maji wanyayo kuku.


💦Nzuri saaaaaana kwa Afya ya nywele na ngozi kiujumla.


*Majombo herbal

+255679039663

www.majombo.com


*watsapp group*

https://cha


t.whatsapp.com/LdVxe3A0n6w3XkiZ59pexr

Comments