*MADHARA YA VIZUIA MIMBA|*
*sindano| vidonge| vipandikizi| Sababu Za Mwanamke Kukosa Ujauzito*
๐ธ+255679039663๐ธ
๐Dr.Hamza majombo๐
U_TUBE:https://youtu.be/EfugO25MaCE
Leo tuangalie madhara yawapatayo Baadhi ya Akina Mama watumiapo vizuia Mimba.
๐๐๐๐*A.MADHARA YA SINDANO YA KUZUIA MIMBA.*
1.Usumbufu wa Hedhi.
2.Kichwa kuuma Mara kwa Mara.
3.Kupata kizunguzungu.
4.Kupata kichefu chefu?
5.Kuongezeka uzito usiokuwa na Faida.
6.Kupata hedhi yenye mabonge mabonge ya damu.
7.kutokwa damu nyingi zaidi ya siku 4 wakati wa hedhi.
๐๐๐๐*B.MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA.*
1.Huathiri mfumo wa uzazi kwa ndani.
2.Huongeza uzito wa ute utokao utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga.
3.Kuumwa kichwa mara kwa mara.
4.kupata kichefu chefu.
5.Kutopata hedhi kwa Baadhi ya Wanawake.
6.Kubadilika kwa Mwenendo wa Damu(Hedhi)
7.Huathiri ini kidogo kidogo.
8.Kupata kisukari.
9.Kupata ugonjwa wa Moyo.
10.Kupooza upande mmoja.
11.Kupata hedhi yenye mabonge mabonge.
12.Kutokwa Damu nyingi wakati wa hedhi kwa zaidi ya siku 3.
๐๐๐๐*C.MADHARA YA KITANZI CHA KUZUIA MIMBA.*
1.Utokaji ovyo wa Damu.
2.Kutoboka mfuko wa uzazi.
3.Kuongezeka upana wa uke na kufungua lupa na kufunga kwa uzazi.
4.Kutoka hedhi yenye mabonge mabonge ya damu.
5.Kutokwa Damu nyingi wakati wa hedhi kwa zaidi ya siku 3.
๐๐๐๐*D.MADHARA YA KIJITI.*
1.Husababisha kansa.
2.Kuchanganyikiwa kwa akili.
3.kupata shinikizo la Damu (Presha)
4.Kupata maumivu makali wakati wa kujaamiana.
5.Kutoka hedhi yenye mabonge mabonge ya Damu.
6.Kutokwa Damu nyingi wakati wa hedhi kwa zaidi ya siku
๐งฒTembelea youtube kwa maelezo zaidi
https://youtu.be/EfugO25MaCE




Comments
Post a Comment