🌀*JINSI YA KUPIKA VISHETI*🌀
💧💧💧*MAHITAJI*💧💧💧
➖Unga ngano kg 1
➖sukari vjko 5
➖chumvi 1/2 kijiko
➖mafuta vjk vya chakula 5
➖bakingpowder kjk 1
➖Hiliki kiasi(sio lazima)
➖mafuta ya kukaangia
📍📍Chukua unga tia kwenye bakuli kubwa, weka sukari, hiliki,chumvi, mafuta hata yabaridi tu, tia na bakingpowder kisha vichanganye vyote vizuri.
📍📍Anza kutia maji kdg kdg huku ukikanda ( Hapa unaweza tumia tui, maji , maziwa ni wewe tu) sio lazima maji yawe vuguvugu, kandia hata yabaridi tu! kanda donge lisiwe laini sana. liwe gumugumu.
📍📍Ukishaona donge lako limekua tayari anza kata donge kdg sukuma chapati lisiwe jepesi kisha anza kukatakata visheti size ndogondogo kwa umbo upendalo. na vitie kwenye karai la mafuta jikoni vikibali rangi nakuwa brown kdg tu vitoe. endelea hivyo hadi umalize!
#majombotz
+255679039663
Tiba lishe,Tiba asilia
Comments
Post a Comment