************************************************
UGONJWA HATARI WA BAWASIRI/MGORO
*****************************************************
➖Tiba ushauri na utafiti (Dawa asili )
➖Tanzania -Dar -es-salaam
DR.HAMZA MAJOMBO
➖(+255679039663)
Call➖sms&txt➖Whatsapp ➖telegram ➖imo
➖Bawasiri ni ugonjwa wa Kutoka kinyama ktk Njia ya haja kubwa.
➖Kwa Lugha Nyingine Inajulikana Kwa Jina la Mgolo Kwa kingereza hujulikana kama Hemorrhoids Au piles.
➖Watu Wengi Wanasumbuliwa na Bawasiri na Wanashindwa kujieleza katika Familia zao au Jamii Kwa Kuona Jambo la Aibu.
➖Wagonjwa wa Bawasiri Wanapokwenda katika Hospital kupata tiba hakuna Tiba ila Kikubwaa Wanafanyiwa Upasuaji na Kukata kile kinyama.
➖Hali hii Inamfanya Mgonjwa kuacha Shughuli Zake Na Kuanza Kuuguza Kidonda.
➖Na Watu Wengiiii Waliofanyiwa Upasuaji huo Wanalalamika Sana Kuwa Bawasiri Imerejea Tena hata Baada ya Kufanyiwa Hio Operesheni.
*****************************************************
➖*SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI*
*****************************************************
➖Ugonjwa huu wa bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo;
(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
(8) mapenzi kinyume na maumbile
(9) uzito mkubwa
(10) vyoo vya kukaa
(11) ulevi na mihadarati
***********************************************
➖DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI –
CHUKUA TAHADHARI MAPEMA.
************************************************
- ➖Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.
- ➖Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Hiki kitendo nikibaya sana.
- ➖Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota kama uperepere.
- ➖Kujitokeza kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa. kikitokea nje, ujue kwamba una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya gafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishoe kuathirika. Chukua tahadhari mapema kabra hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.
➖Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana
➖Kupumua (kujamba) kiasi kwamba mwezako hawezi kuvumilia hali iliotokea ya uchafuzi wa mazingila
➖Upungufu wa damu mwilini
➖Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.
➖Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda
➖Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote.
➖Upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume, ikiwemo uume kushindwa kusimama kwa muda unaotakiwa na kushindwa kurudisha heshima ya ndoa.
➖Uume kusinya (unapoteza urefu na ukakamavu)
Sperms (Mbegu za mwanaume) kutokua bora kiasi kwamba haziwezi kumpa mimba mwanamke, au kusababisha mimba kutoka kila wakati.
➖Kuathirika kisaikolojia
➖Kutojiamini katika hadhara ya watu
********************************************
*MAELEKEZO MAALUMU KWA WENYE BAWASIRI SUGU KATIKA KUTUMIA DAWA YA BAWASIRI*
*****************************************************
1⃣ Jitahid kila uamkapo asubuhi kabla ya kupiga mswaki kunywa glass 3 za maji,pia mchana tumia glass 3 na ucku glass 3 za maji kwa maana jitahisi angalau kwa siku Kunywa si chini ya glass 9 za maji.
2⃣ Fanya mazoezi ya kusimama na kuchuchumaa mara mbili kwa siku yaan asubuh baada ya kuamka na jion.Yaani Fanya mazoez haya asubuhi kwa muda si chini ya dakika 30 na jioni si chini ya dakika 30.
3⃣ kanda kwa maji ya vuguvugu yenye chumvi sehemu ya kinyama asubuhi kisha baada ya kujikanda likaushe vizur eneo hilo.
*****************************************************
*Vitu vya kuepuka*
Jitahid kuepukana na vitu /mambo yafuatayo:⤵️
*****************************************************
1⃣ Epuka matumizi ya vilevi/pombe.
2⃣ Epuka matumizi ya pilipili.
3⃣ Epuka kukaa sana sehemu ngumu kwa muda mrefu.
4⃣ Epuka matumizi ya nyama nyekundu kama vile nyama ya mbuzi,ng'ombe na Kondoo
5⃣ Epuka Kuingiliwa/kufanya mapenzi sehemu ya haja kubwa.
6⃣ Punguza vyakula vya mafuta
7⃣ Epuka/punguza unyanyuaji wa vitu vizito.
8⃣ Punguza matumizi ya vyakula vya ngano.
9⃣ Epuka kula vyakula vyenye kusababisha choo kuwa kigumu.
🔟 Jitibie magonjwa ya ngiri,vidonda vya tumbo nk.
*Jitahid kutumia juice ya matunda kama vile parachichi,passion na maembe angalau mara 3 kwa wiki*
🐞kuangalia video ya maelezo bofya..
https://youtu.be/eAQthbnUJRQ
Hemorrhoids May Cause Colony Cancer
Usipuuze Bawasiri Inasababisha Saratani
____________________________________
➖Tiba ushauri na utafiti (Dawa asilia)
➖Tanzania -Dar es salaam
➖Dr.Hamza majombo
➖(+255679039663)
Call➖sms&txt➖Whatsapp ➖telegram ➖imo
_________________________________
Comments
Post a Comment