MADHARA NA TIBA YA PUNYETO/MASTURBATION

 🌀PUNYETO🌀


•FAHAMU MADHARA YA         KUPIGA         


PUNYETO


Dr. Hamza majombo

☎+255679039663


Punyeto kitendo cha kusugua sehemu ya siri ya uzazi kwa kutumia mkono au sabuni na kufika kileleni.


Punyeto inajenga tabia, na pale inapokuwa ni tabia cronic ndipo inaleta madhara makubwa, Punyeto inafanywa na jinsia zote lakini kwa upande wa wanawake ni asilimia chache sana, wanaume ndio wengi,

Wapo wengi wanaofanya punyeto na madhara yake wameshayaona tena wanatamani kuacha lakini wanashindwa,


Yafuatayo ni madhara ya punyeto.....


1.Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu kwa umakini.


2.Kitendo hiki huondoa baraka na neema za Mungu kwani kinamuudhi sana Mungu,


3.Huuwa na kumaliza nguvu za kiume kabisa.


4.Husababisha uchovu muda wote.


5.Humfanya mtu kupoteza nguvu za mwili na kumfanya kuwa legevu na mvivu.


6.Husababisha mwanaume kutoa mbegu haraka wakati wa tendo la ndoa.


7.Husababisha msongo mkubwa wa mawazo.(mawazo kuwa mengi)


8.Husababisha mtu kukosa hamu kabisa  Ya tendo la ndoa hata akiwa na mke wake.


9.Husababisha ukhanithi (ugumba).


10.Humfanya mtu ambae hajaowa ashindwe kuowa


11.Husababisha mtu kuathilika kisaikolojia.


12.Huzidisha woga kwa wanawake.(kuogopa wanawake).


13.Humfanya mtu ashindwe kuona umuhimu wa wanawake.


14.Inaweza kumfanya mtu kukonda na mifupa ya mashavu kutokeza.


15.Humfanya mtu kuwa mtumwa wa kitendo hicho.


16.Ni maasi na athari ya kudumu inayouwa afya ya mwili na akili.


17.Kushindwa kusimamisha uume zaidi ya mara 1 na uume kuwa legevu.


18.Maumivu ya mgongo.


19.Kusinyaa kwa nywele.


20.Maumivu ya makende.


21.Maumivu ya kiuno.


22.Pia inaweza kusababisha umasikini kwa sababu mtu hupoteza nguvu,kumbukumbu, na kuwa mlegevu na mvivu.


23.Inachangia kushindwa kufikia malengo kwa sababu huuwa mfumo wa fahamu na uwezo wa kufanya jambo kwa makini.


24.Inadhoofisha mwili na kuufanya jalala la maradhi


25.Huondoa nuru ya macho.


26.Huzidisha mapigo ya moyo kama mtu mwenye presha.


27.Hufanya ngozi ionekane kama ya mzee.


28.Husababisha kuvunjika kwa ndoa.


29.Humfanya mtu kutazama na kuwaza sana wanawake, na pia kutazama sana picha na video za ngono.


30.Kuumwa ma kichwa mara kwa mara.


31.Kukosa nguvu kwenye jointi za magoti.


32.Kupungukiwa mbegu katika mfuko wa uzazi.


33.Kuharibika kwa mishipa ya fahamu na uti wa mgongo.


34.Humfanya mtu kusinzia ovyo kila anapomaliza punyeto.


35.Mpiga punyeto hana uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni.


36.Ni aibu kubwa sana kwa jamii.


Nini kifanyike basi ili kuondokana na tatizo na pia nini kifanyike kutibu madhara ambayo tayari yameshatokea katika mwili wako..!?


🌐 Dr. Hamza majombo 💧  Dar es salama-Tanzania 🇹🇿


 ☎ +255679039663♨

✅ Watsap

✅ calls

✅ txt sms

✅ imo

✅Tele gram

✅ insta. majombotz


✅U-Tube. Majombo herbal



Or inbox via the email below📲📲📲

majombotz@gmail.com


Asanteni.

Comments