*_UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE_*
____________________________________
============================
+255679039663
Dr.Hamza majombo
•Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo na kiwango cha sukari kilichozidi katika damu (high blood glucose ~*hyperglycemia*)
============================
🧬AINA ZA KISUKARI🧬
============================
1️⃣ *TYPE 2 DIABETES*
•Ni hali iliyokuwa sugu ambayo inaathiri namna ambavyo mwili unabadilisha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu (glucose).
2️⃣ *TYPE 1 DIABETES*
•Ni hali iliyokuwa sugu ambapo kongosho(pancreas) huzalisha kiasi kidogo cha insulin au hushindwa kabisa kuzalisha insulin kwaajili ya kuondosha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu.
3️⃣ *PRE-DIABETES*
•Ni hali ambapo kiwango cha sukari katika damu kinakuwa juu lakini bado hakijafikia kuwa kisukari type 2.
•Na Sukari huwa 5.7- 6.4 kabla ya kula kwa mtu ambae ana dalili ya *prediabetes*
VIWANGO VYA SUKARI NA MAANA YAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU
1️⃣ *_KIWANGO CHA SUKARI KILICHO SAWA (normal blood Sugar)_*
•Kwa watu wengi Wenye Afya nzuri,Kiwango kilicho sawa cha Sukari kwenye damu ni kama vifuatavyo⤵⤵⤵:
➡️ *_KABLA YA KULA_*
Sukari huwa Kati ya 4.0 hadi 5.4 mmol/L (72 hadi 99 mg/dL) kabla ya kula.
➡️ *_BAADA YA KULA_*
Hufika 7.8 mmol/L (140 mg/dL) Masaa 2 baada ya kula.
2️⃣ *_KWA WATU WENYE KISUKARI_*
•Kiwango cha sukari mwilini kwa watu Wenye kisukari huwa kama ifuatavyo⤵⤵⤵⤵:
➡️ *_KABLA YA KULA_*
-Sukari hufika 4 hadi 7 mmol/L kwa watu Wenye type 1 au type 2
➡️ *_BAADA YA KULA_*
-Sukari huwa chini ya 9 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type 1 na huwa chini ya 8.5 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type 2
___________________________________
*_SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA KISUKARI_*
⤵️⤵️⤵️
___________________________________
➡️Utumiaji wa vyakula vyenye Sukari kupitiliza
-Husababisha kisukari kwasababau hupelekea mwili kuwa mzito zaidi.
➡️ Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi(kama vile nyama ya ng'ombe,mbuzi,kondoo nk)
➡️ Utumiaji wa vyakula vyenye mafuta mengi(fats & lipids)
➡️Kutokufanya mazoezi/Uzembe wa mwili.
➡️ Utumiaji wa Vilevi na Sigara.
➡️ Uzito uliopita kiasi
➡️ Presha ya kupanda(Hypertension)
➡️ Sababu za Kurithi.
➡️ Umri mkubwa miaka 45 au zaidi.
___________________________________
*_DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI_*
___________________________________
➡️ Kupata kiu kila wakati na kupelekea Kunywa maji kupita kiasi.
➡️Kukojoa sana hasa wakati wa usiku(frequent uniration)
➡️Uchovu na mwili kukosa nguvu kila wakati.
➡️Kuchelewa kupona kwa majeraha na vidonda hasa miguuni nk.
➡️Miguu kuoza
➡️Kupungua kwa nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa
➡️kutokuona vizuri na kupata upofu
➡️Ganzi miguuni na kwenye vidole pamoja na Miguu Kuvimba.
➡️Kupungua uzito na kukonda hata Kama unakula vizuri
➡️ Ngozi kupauka licha ya kupaka mafuta Mara kwa mara
__________________________________
*_MADHARA YA UGONJWA WA SUKARI_*
⤵️⤵️⤵️⤵️
__________________________________
➡️kupata magonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases)
➡️ Kiharusi au kuparalaizi( Stroke)
➡️ Shinikizo la damu (NHT)
➡️ Figo kufeli kufanyakazi na mawe kwenye figo(Kidney Stones)
➡️ Kupungua kwa nguvu za kiume. na kukosa hamu ya tendo la ndoa
➡️kupata upofu
➡️ Hatari ya kupata Kansa kutokana na Vidonda visivyopona.
🖇️ Kisukari ni ugonjwa wenye kutibika kwa dawa za asili hasa pale utakapobahatika kupata dawa ya uhakika katika kutibu kisukari mfano wa dawa za uhakika.
🎈Dr.Hamza majombo
🎈Majombo herbal.
🎈www.majombo.com
🎈+255679039663
🎈Majombotz@gmail.com
Comments
Post a Comment