*_MPANGILIO WA VYAKULA KWA WENYE UGONJWA WA KISUKARI_*
Dr.Hamza majombo
⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬
Kwanza ifahamike kwamba mgonjwa wa Kisukari hajakatazwa kula vyakula vya wanga wala sukari ispokuwa mgonjwa ataendelea kutumia makundi yote ya vyakula kama kawaida ila kwa namna tofaut na alovyokuwa amezoea mwanzoa.
☝️☝️☝️☝️Tuelewane hapo.
*Makundi ya vyakula.*
1.Carbohydrate
2.Protein
3.Vitamins
4.Lipids&fats
5.Minerals
6.Water
7.Fibers
1.Vyakula vya wanga (Carbohydrates)
.Hakikisha wewe mgonjwa wa Kisukari unatumia vyakula vya wanga vyenye afya kulingana na tatzo lako.Mfano wa vyakula vya wanga vyenye afya kwa mgonjwa wa Kisukari ni:⏬⏬
⚫ Matunda
⚫ Mboga za majani
⚫ Nafaka zisizokobolewa kama vile Dona,Mkate wa ngano icyokobolewa nk
⚫ Jamii ya kunde kama vile Maharage,njegere nk
⚫ Bidhaa za maziwa zenye kias kidogo cha mafuta kama vile maziwa fresh & Cheese
*_Epuka kutumia vyakula vya wanga ambavyo havina afya kwa mgonjwa wa Kisukari kama vinywaji vilivyowekewa fats,sukari na Sodium mfano Bidhaa za maziwa,Soda nk_*
2.Vyakula vyenye kiasi kingi cha nyuzi nyuzi
-Hivi vinasusisha sehemu za mmea ambazo mwili hauwez kuvimeng`enya na vinasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilin na kias fulan.Mfano wa vyakula hivyo ni:⏬⏬⏬⏬
⚫ Mboga za Majani
⚫ Matunda
⚫ Karanga,njugu nk
⚫ Jamii ya kunde kama vile Maharage nk
⚫ Nafaka isiyokobolewa kama vile ugali wa dona nk.
3.Samaki wa chukuchuku/Kubanikwa(Samaki ambao hawajakaangwa kwa mafuta).
-Wana kiasi kikubwa cha Omega-3 fatty ambayo husaidia kuzuia magonjwa ya moyo.
-Jiepushe kutumia Samaki wenye kiasi kingi cha madini ya mercury kama vile Samaki aitwae *King mackerel*
4.Fats nzur
-Vyakula ambavyo vina
monounsaturated and polyunsaturated fats vinauwezo mkubwa wa kupunguza kupunguza kias cha lehemu (Cholesterol) kama vile
⏬
⚫ Parachichi
⚫ Karanga,njugu nk
⚫ Mafuta ya zaituni,mafuta ya Karanga nk
*Lakin usizidishe kutumia vyakula hivi*
*_MFANO WA MPANGILIO WA MENU YA CHAKULA CHAKO_*⏬⏬⏬⏬⏬⏬
*ASUBUHI*
-Mkate wa ngano ambayo haijakobolewa (Slice moja size ya kati)
-Kipande cha tunda mfano.Parachichi,
-Nusu kikombe cha uji wa dona wenye maziwa.
-Yai moja (la kienyeji ni bora zaid)
-Kahawa kiasi nk.
*MCHANA*
-Nyama ya Ng'ombe roast ikakunjiwa ndani ya Mkate wa ngano isiyokobolewa (Slice moja(
-Bidhaa ya maziwa ambayo ina kias kidogo cha fat(cheese)(Nusu kikombe)
-Tomato kias
-Mayonnaise kiasi
-Apple kipande
-MAJI yakutosha
-Mboga za Majani
*DINNER*(CHAKULA CHA JION).
-Samaki (mmoja)
-Mafuta ya kupikia.kijiko kimoja na nusu (kijiko cha chai)
-Karoti (Nusu kikombe)
-Green beans (Nusu kikombe)
-Maziwa kiasi
-Kipande cha tikiti MAJI
*_Kwa tiba na ushaur zaid juu ya Ugonjwa wa Kisukari na utaratibu mzima wa ulaji wasiliana nami_*:⏬⏬⏬
Dr.Hamza majombo
Tiba Asili
Tanzania
*MAJOMBO HERBAL*
+255679039663
majombotz@gmail.com
Comments
Post a Comment