_______________________________
*UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?*
*TIBA YAKE NI NINI?*
📍📍📍📍📍📍📍📍📍📍📍
Dr.Hamza majombo
+255679039663
_____________________________________
www.majombo.com
majombo herbal
Mbagala-kizuiani
Dar es salaam
_____________________________________
*UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?
_____________________________________
Ni hali ya mwanaume kushindwa kuridhika na kumridhisha mke wake wakati wa tendo la ndoa. ( KUSHINDWA KUFANYA TENDO LA NDOA IPASAVYO)
_____________________________________
*DALILI ZA MWANAUME MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
_____________________________________
*Zifuatazo ni baadhi ya dalili za mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume:*
i) Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha Uume wake barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
_____________________________________
ii) Na hata uume wake ukisimama hubaki kuwa goigoi/legelege na huweza kusinyaa wakati wowote.
_____________________________________
iii) Kumaliza mapema/kufika kileleni mapema kabla ya makusudio.
_____________________________________
iv) Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume na pia kua na mbegu chache.
_____________________________________
v) Uume kusinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri. _____________________________________
vi) Mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake.
_____________________________________
vii) Mwanaume Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa uume wake. Hali hii inajitokeza pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa.
_____________________________________
FAHAMU KUWA: Uume husimama (Hudinda) barabara pale mishipa yake ya damu inapopata msukumo wa kutosha wa damu. Na hili linawezekana pale ambapo mfumo wa mzunguko wa damu (The Blood circulation system) wa mwanaume unapokuwa katika hali nzuri ya kiafya. Mfumo huo unahusisha Moyo na mishipa ya damu.
“Kitu chochote ambacho ni kibaya au hatari kwa Moyo wako pia ni kibaya kwa Uume wako,” anasema *Profesa Andrew McCullough*, Mkurugenzi wa Program ya Afya ya Uzazi katika chuo kikuu cha New York (New York University, Langone Medical Center).
Mfano mzuri na rahisi kabisa wa kitu kibaya au hatari kwa moyo ni vyakula vya mafuta.
_____________________________________
*CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
_____________________________________
*Tatizo la kawaida liliotokana na:-*
*✔Ukosefu wa Elimu,vyakula,tendo*
*✔Pombe/sigara/mihadarati*
*✔Unene/Uzito/kitambi/kukosa mazoezi*
*✔msongo wa mawazo/saikolojia*
___________________________________
*Tatizo la saizi ya kati limetokana na:-*
*✔Punyeto-mapenzi ya bila mwanamke*
*✔Kutazama picha na video za ngono(x)*
*✔Mapenzi ya jinsia moja*
*✔Mapenzi ya kinyume na maumbile*
_________________________________
*Tatizo kubwa limetokana na:-*
*✔Kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume zenye kemikali Eg* *viagra/vega/erector/enjoy/cream/spray/Alprostadil.Avanafil./Sildenafil/Tadalafil./Testosterone./Vardenafil*
*Na dawa zingine zingine unazo jua wewe*
*✔Kuwa na historia ya kuumwa kwa muda mrefu*
*Eg-Kifua kiku / mtu alie wahi kutumia dawa za kemikali kwa muda mrefu sana mwaka1+*
___________________________________
*Tatizo kubwa sana lime tokana na:-*
*✔Magonjwa mbali mbali sugu*
*✔Vidonda vya tumbo*
*✔Chango la uzazi (ngiri hernia)*
*✔Kusukari/moyo/presha/shinikizo la damu*
*✔Mangonjwa yote yale ambayo watu husema hayana TIBA*
_____________________________________
*BAADHI YA VITU VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME.*
_____________________________________
i) Mdalasini (Cinnamon)
ii) Kitunguu Saumu (Garlic)
iii) Tangawizi (Ginger)
iv) Pilipili Manga (Black pepper)
v) Karafuu (Clove)
vi) Habat sawda (Black seed)
vii) Unga wa Soya (Soya flour)
viii) Asali
Na vingine vingi.
____________________________________
➖Tiba ushauri na utafiti (Dawa asili )
____________________________________
Mbagala -Kizuiani -Dar -es-salaam
_____________________________________
Dr.Hamza majombo
_____________________________________
+255679039663
_____________________________________
www.majombo.com
majombo herbal
_____________________________________
majombotz@gmail.com
_____________________________________
```Bonyeza hii link itakuleta *INBOX* Whatsapp moja kwa moja```
⤵️⤵️
_____________________________________
_____________________________________
Comments
Post a Comment