Madhara na athari za Bawasiri

 MADHARA/ATHARI ZA BAWASIRI

1.📎Upungufu wa damu mwilini

2.📎Kutokwa na kinyesi bila kujitambua 

3.📎kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

4.📎kupungukiwa nguvu za kiume

5.📎kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6.📎Kupata tatizo la kisaikolojia 

7.📎Kutopata ujauzito

8.📎 Mimba kuharibika

10.📎 Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)

11.📎 Mwili kudhoofika. 


Comments