Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Elimu,tiba naushauri

 ___________________________________


TIBA NA VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME & UUME MDOGO & NGIRI 

____________________________________


        CALL| TEXT| WHATSAPP

            Dr.Hamza majombo

              +255679039663

____________________________________

WHATSAPP INBOX BOFYA⬇️


   wa.me/255679039663

____________________________________


Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo


[1] Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake


[2] Uume kusimama ukiwa legelege


[3] Kuwahi kumaliza tendo la ndoa


[4] Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege


[5] Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.


[6] Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.


[7] Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.


[8] Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )


[9] Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.


[10] Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa

_________________________________


NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO

_________________________________

[1] Kupiga Punyeto kwa muda mrefu.


[2] Kuugua chango la uzazi.(NGIRI)


[3] Magonjwa ya utotoni


[4] Kutahiriwa vibaya


[5] kutoka kwa wazazi. 


[6] unene na kitambi 


[7] matatizo ya homoni; 


[8] upasuaji wa tezi dume 


[9] kuvuta sigara;  


[10] Upungufu wa nguvu za kiume 


[11] magonjwa mbali mbali sugu Eg KISUKARI 

 

[12] Tatizo la saikolojia (picha la x)

_________________________________


DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA KWA WANAUME

_________________________________


[1] Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.


[2] Kupiga mingurumo tumboni.


[3] Kujaa gesi tumboni.


[4] Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.


[5] Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.


[6] Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.


[7] Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.


[8] Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia  hupati nguvu tena mpaka kesho.


[9] Nuru ya macho hupotea taratibu.


[10] Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.


[11] Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.


[12] Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.


[13] Maumivu makali ya mgongo au kiuno


[14] Uume kusinyaa na kunywea kama wa mtoto

____________________________________


DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI [HERNIA] SUGU [iliyovimba]

____________________________________


[1] kende(pumbu) moja au mbili kuvimba


[2] kuvimba   Juu ya kinena kushoto au kulia

 

[3] kufanyiwa upasuaji wa  hernia

 

[4] Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena


[5] kende( pumbu) kupotea zote au moja


[6] Kende kujaa maji


[7] Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wenye kujaa kama nyama


[8] Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani


[9] Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu


[10] Maumivu/Kusikia kichefuchefu

___________________________________


  CALL| TEXT| WHATSAPP


        +255679039663

     Dr.Hamza majombo

        Majombo herbal

___________________________________


WHATSAPP INBOX BOFYA


   wa.me/255679039663

___________________________________




Comments