DALILI KUU ZA BAWASIRI/MGORO

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

_________________________

1. kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa.

2. kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa.

3. kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa.

4. kupata kinyesi chenye damu.

5. kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia.

6. Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa bawasiri inapofikia hatua mbaya.

--------------------------------------

+255679039663

Dr. Hamza majombo.

www. majombo. com


Comments