KWANINI KUJISAIDIA CHOO KIGUMU NI KATIKA SABABU ZA MTU KUPATA BAWASIRI??
______________________
......................................
MAJIBU
⤵⤵⤵⤵⤵
-Kujisaidia choo Kigumu/Constipation ni katika sababu za kupata Bawasiri kwasababau mtu hutumia nguvu nyingi wakat wa kujisaidia hivyo hupelekea mgandamizo wa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa/puru hali hii hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa ya damu na kusababisha Bawasiri
Miongoni mwa sababu za mtu kujisaidia choo Kigumu ni:⤵⤵⤵⤵⤵
▶️ Ulaji duni -Kutohusisha vyakula vyenye nyuzi nyuzi(fibres) katika mlo kama vile Mboga za majani na matunda pia kutokunywa maji ya kutosha.Pia kula vyakula vilivyokobolewa kama Sembe na Wali bila kuhusisha vyakula vya kusaidia mmeng’enyo wa chakula ni katika sababu ya kupata choo Kigumu.
▶️ Vidonda vya TUMBO
-Vidonda vya tumbo husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu vidonda huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu.
▶️ Ngiri/Hernia
–Ngiri/Hernia husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu Ngiri huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu hivyo husababisha Bawasiri.
MUHIMU
_____________________
-Mtu mwenye Ngiri na Vidonda vya TUMBO ni ngumu sana kupona Bawasiri endapo hatotibu Ngiri na Vidonda vya TUMBO pia wakati anatibu Bawasiri.
-Usipojua chanzo cha Bawasiri yako na kutatua chanzo hicho basi unaweza kuhangaika na Bawasiri hata kwa miaka zaid ya 10.
-Bawasiri ni athari. ambayo inaashiria kuna tatzo hivyo tibu/Jiepushe na chanzo Bawasiri itakukimbia yenyewe .
Mwisho:
@Dr.Hamza majombo
+255679039663
Comments
Post a Comment