*BAADHI YA AINA ZA NGIRI KWA WANAUME*
_______________________________________
1.🌀Umbilical hernia.👉 Ngiri ya kitovu.
2 .🌀Direct Inguinal hernia.👉Katikati ya kinena na paja.
3 .🌀Hiatal hernia. 👉Hujitokeza juu ya tumbo.
4. 🌀Incisional hernia.👉Hujitokeza eneo la upasuaji.
5. 🌀Epigastric hernia.👉Hujitokeza eneo la chembe moyo.
6. 🌀Femoral hernia.👉 Hujitokeza kati ya paja na kinena kwenye nyama yenye mafuta mfano wa mtosi.
7. 🌀 Indirect inguinal hernia.👉Hujitoleza kushuka kwenye korodani(pumbu)
8. 🌀Diaphragmatic hernia. 👉Hujitokeza wakati baadhi ya viungo vya tumboni hupanda kifuani.......
.....nk.
_______________________________________
DR.HAMZA MAJOMBO
Majombo herbal
0679 039 663
________________________________________
Comments
Post a Comment