*_CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI_*
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
+255679039663
Dr.Hamza majombo.
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
⚫Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.
______________________________________
*_DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE_*
______________________________________
⚫Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-⤵⤵
1⃣Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi).
2⃣ Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
3⃣ Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi.
4⃣Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi.
5⃣Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
6⃣Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
7⃣ Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
8️⃣ Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
9️⃣ Kupata uvimbe kwenye kizazi
🔟Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
1⃣1⃣ Maumivu makali chini ya kitovu/kwenye kinena.
1⃣2⃣Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa.
1️⃣3️⃣ Kujisaidia choo kigumu
*_MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE_*
➡️Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
➡️Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.
➡️Kuingia na kutoka kwa mimba
➡️Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni.
➡️Kuwa na uke mdogo sana.
➡️Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
➡️Kupata uvimbe kwenye kizazi.
➡️Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi.
➡️ KUPATA Bawasiri kutokana na kupatwa na choo kigumu
============================
*_TIBA YA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE_*
============================
Ni vyema sana kumweleza Dactari Dalili zote ambazo mwanamke hujihisi kisha Daktari mzoefu atajua tatizo lako.
Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.
Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.
zipo dawa za asili zinazoaminika kutibu matatizo ya Chango na uzazi kama vile dawa iitwayo *_ABILITY_* ni dawa ambayo hutibu changamoto za uzazi na chango.
📍Dr. Hamza majombo
📍www.majombo.com
📲+255679039663
📍Majombo herbal
📍Tanzania🇹🇿
Comments
Post a Comment