KWANINI MAZIWA SIO RAFIKI KWA VIDONDA VYA TUMBO?

 *_KWANINI MAZIWA/CREAM SIO RAFIKI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO & ACID REFLUX_*??


Jawabu

⤵⤵⤵⤵⤵⤵

⚫ Maziwa yana kiasi kingi cha madini ya *Calcium* (Ca),madini haya huchochea uzalishwaji wa acid kwa wingi tumboni,hali hii hupelekea vidonda kuchimbika zaidi na baadae husababisha hali kuwa mbaya zaid kwa mgonjwa.


⚫ Wengi wanakitumia maziwa hupata naafuu ya muda kwasababu ya ile hali ya maziwa kuvifunika vidonda kwa muda na baada ya hapo hali huwa mbaya.Hivyo maziwa si salama kabsa kwa wagonjwa wa vidonda vya TUMBO.


⚫ Hapo zaman madaktari walikuwa wakishauri maziwa kwa mgonjwa wa vidonda vya TUMBO lakin tafiti zinaonesha kwamba maziwa si salama kabsa kwa mwenye vidonda vya tumbo, ukiona daktari anakupa USHAURI huu basi huenda akawa hajui ama hajafikiwa na tafiti za wakati huu.


Comments