DALILI ZA UCHAWI/KULOGWA

 👹DALILI ZA MTU MWENYE UCHAWI👹

🥢🥢🥢🥢🥢🥢🥢🥢🥢🥢🥢🥢🥢


(1) KUUMWA SANA NA KICHWA


(2) PRESHA MARA KWA MARA HATA DAWA HAIKUBALI. 


(3) KUTOONA BILA YA SABABU


(4) NDOTO ZAKUTISHA NA ZISIZOELEWEKA.


(5) HEDHI ISIYO NA MPANGILIO.


(6) UJAUZITO NA UKIPIMA HAUONEKANI.



HIZI NI BAADHI TU YA DALILI ZA UCHAWI. LAKINI BASI NA TUANGALIE VIPI MTU ATAJITAMBUA KUWA NA SHETANI.

🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰


(1) KUUMWA NA KIZUNGUZUNGU.


(2) TUMBO KUUMA SANA HASA CHINI YA KITOVU.


(3) KICHWA KUUMA KWA VIPANDE.


(4) KUSHTUKA NA MOYO KWENDA MBIO.


(5) MWILI KUSHIKA MOTO.


(6) TUMBO KUUMA SANA KIPINDI CHA HEDHI


(7) MAUMIVU WAKATI WATENDO LA NDOA.


(8) KULIA BILA SABABU NA KUTINGISHIKA.


(9) MWILI KUWA MZITO NA KUWA NA HASIRA.


(10) KUTEMBEWA NA VITU MWILINI


(11) KUTAMANI KUACHWA NA KUACHA.


(12) KUWA NA KAULI MBAYA


(13) MWAUMIVU CHINI YA UTI WA MGONGO.


(14) MOYO KUUMA KAMA ANANYONYESHA


(15) KUOTA UNAFANYA JIMA (MUME=MKE)


(16) KUOTA UNAZAA, UNANYONYESHA.


(17) UKIOTA JIMAITU MIMBA INATOKA.


(18) JINAMIZI, USINGIZINI, NA USINGIZI MWINGI 


(19) KUOTA UNAPAA.


(20) KUSIMAMIWA NA MTU NA UKIGEUKA HAYUPO.


(21) MAGOMVI KILA MARA KWENYE NDOA.


(22) KUPOTEZA VITU KAMA PESA, MIKUFU, HATA UKIFICHA 


(23) KUCHANGANYIKIWA NDANI YA SWALA.


(24) KUTOPENDA KUJIPAMBA KWA AJILI YA MUME.


(25) KUMCHUKIA MUME AU MKE.


(26) KUOTA UNAINGILIWA KINYUME CHA MAUMBILE.


(27) MARINGO NA KUJIVUNA.


(28) KUHISI UNAINGILIWA SIO NDOTONI.


DALILI ZA MWENYE KUSIBIWA NA MAJINI

🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰🌰


1 Kuota ndoto za jimai Mara kwa Mara na kuamka umelowa hali yakuwa umelala peke yako.


2 Kuota ndoto za ujauzito Mara kwa Mara


3 kuota unanyonyesha au kujifungua 


4 Kuota unakimbia na kupaa au kuelea angani au kudumbukia shimo refu


5 Kuota una shambuliwa au kufukuzwa na wanyama wakali


6 Kuota majoka au wadudu motor nk


7 Kutopenda kukaa na watu, kupenda kuwa peke yako


8 Kulala hivyo ama kukosa usingizi bila sababu za msingi


9 Maumivu makali ya kichwa yasiyo sikia dawa hospital


10 Kuwa na ganzi bila sababu za msingi


11 Kuota kufa kufa au kuzikwa


12 Kuota watu walio kufa zamani au kujikuta upon makaburini


13 Kuwa na Maumivu ya kuhama hama


14 Kuota watu wa ajabu, warefu sana IMA wafupi sana


15 Kuchukia manukato ima kutopenda usafi


16 Kuumwa macho,meno, sikio bila sababu za msingi kisha hupotea


17 kupatwa michubuko au Maumivu makali ufanyapo jimai


18 Kuchukia jimai.na kwa mwanamke  akifanya akisimama manii ya mwanaume yanamtoka 


19 kukasirika hovyo hovyo


20 kukosa amani unapo kaa,kuhisi watu nyuma yako au makelele na  hali hawapo 


21 kutokewa na watu njiani na kukupotea


22 kuwa na mwili wa kustuka stuka ima kusisimka na kutembewa na vitu.


23 kukosa hedhi au kupata bila mpangilio


24 Kuchezwa vitu tumboni kama mjamzito


25 Kuwa unavimba uso au mikono miguu au mwili ,kuwasha,kuumwa

na kwa mwanamke kuuma   maziwa kama mjamzito


26 Kuwa na mwili unawaka moto ima barafu mwilini


27 Kusikia kama upepo unavuma masikioni


28 kukabwa usingizin na ukajikuta unataka msaada kwa kuita lakin sauti yako haisikiki kabisa nahii ni dalili kubwa kuliko zilotangulia.


30 kuota umenyweshwa kitu na ukiamka  unakuwa na vidonda kooni au mdomo mzima 


 

DALILI ZA MWENYE KUROGWA AU NYUMBA INAYO WANGIWA


1 Kusikia kama miguu ya watu wanatembea nje


2 kuwa na tabia ya milango kugongwa na hakuna mtu anagonga


3 Kusikia sauti za watu wanaogea nje na hakuna mtu


4 kuwa na vitimbi ndani ya nyumba


5 kuwa na vitu vinatembea mwilini


6 kutetemeka mwili upande mmoja kama kiharusi


7 Kusikia kama mchanga umemwagwa juu ya bati


8 Kusikia kama kishindo juu ya bati


9 Kusikia milio ya wanyama wakilia kiajabu ajabu


10 kuwa na ugonjwa usio onekana hospital


11 kuwa na ugonjwa wenye kujirudia rudia muda mfupi mfupi


12 kuwa na Mtoto analia sana usiku kuanzia sàa sita


13 Kuota kula kula 


14 kuwa na hali ya kutembelewa na vitu mfano wa nyenyere


15 kuvimba mwili kama mpungufu wa damu


16 kupauka mwili kama mgonjwa wa bandana


17 kuvuka ngozi 


18 kuchanjwa chanjwa usingizini


19 kukatwa sehemu ya kiungo usingizini mfano nywele nk


20 kuwa na upotelewaji wa nguo za ndani kwa mazingira ya utata


21 Kuota Mara kwa Mara ukifanya kazi ngumu


22 kuota unasafiri safiri Mara kwa Mara


24kuamka asubuhi ukiwa na matope haliyakuwa haujaenda shambani


 Hili la mwisho Hapa unakuwa umetumika katika kazi za shamba za aliekufanyia uchawi


23 Kuota unapika shughulini

▪️▫️◾️◽️◼️◻️⬛️◻️◼️◽️◾️▫️▪️

Elimika na Dr.Hamza majombo

#majombotz

+255679039663


Comments