❄KWANINI FANGASI ZIMEKUA GUMZO?❄
🍩Fangasi ni magonjwa yanayoathiri ngozi, kucha na nywele, pia huathiri mdomoni ukeni na baadhi ya sehemu za meili.
Magonjwa haya huambukizwa kwa njia ya kugusana au kushirikiana katika kuvaa nguo hasa za ndani na taulo.Lakini pia hupatikana katika sehemu zenye unyevu na uchafu.
🥯Hapa tutaangalia fangasi katika kundi la magonjwa yanayoathiri ngozi, nywele na kucha (dermatomycosis).
Kuna aina kuu 5 za magonjwa ya fangasi wa ngozi, nywele na kucha kama ifuatavyo;
🎲Fangasi wa kichwani, ugonjwa huu huanza na sehemu ndogo ya ngozi ya kichwa na kukua kwa sehemu kubwa. Huathiri nywele na kuzifanya dhaifu, laini na nyepesi kukatika au kung'oka.
Huathiri sana watoto chini ya miaka 10 na hupotea mtu akisha baleghe. Matibabu yake ni griseofulvin na fluconazole, katika upande wa dozi za kizungu ,dozi zake huanzia siku 6-14.
🎲Fangasi wa mwili, ugonjwa huu hutokea mwilini, sehemu ya ngozi iliyoathiriwa huwa nyekundu, duara kama shilingi na kukua huku ikiacha sehemu ya katikati kuwa na ngozi nzuri. Maduara haya yanaweza kukaa yakiwa kadhaa katika sehemu moja ya ngozi. Dawa nzuri kutumia ni za kupaka zinazokuwa katika tyubu, cotrimazole au ketoconazole.. kwa upande wa kizungu, upande wa Asili utatumia Anti-fungal iliyoandaliwa na Dr.Hamza majombo.
Kwa ugonjwa uliokua sana na kwa wagonjwa wenye kinga ya mwili ndogo kama wenye VVU, nivema wakatumia dawa ya kunywa.
🎲Fangasi wa nyayo na vidole, ugonjwa huu hutokea kama mabaka na kuchanika katikati ya vidole na huwacha sana na kuuma pia. Matibabu yake maranyingi huwa dawa ya kupaka kwa wiki 4, kwa ugonjwa uliokua sana tumia dawa ya Anti-Fungal.
🎲Fangasi wa kucha, ugonjwa huu huathiri kucha na hubadilisha rangi ya kucha. Huzalishwa vitu kama chaki na ambavyo vikisuguliwa huweza kupukutika. Kucha huweza kulika na inaweza kuisha.
🎲Pityriasis, huu ni ugonjwa wa fangasi ambao huathiri sehemu ya juu sana ya ngozi katika sehemu za usoni, shingoni na mgongoni. Hutokea kama viduara vyenye mng'ao vinavyo washa.
Huongezeka na huathiri sehemu kubwa ya ngozi visipotibiwa ingwa vinaweza kupotea vyenyewe. Maranyingi ugonjwa huu hauambukizwi Ila hutokea kama ajali tu yapotokea mabadiliko fulani ya mwili.
🖱Kwa maelezo zaidi na tiba stahiki;
Tukutane huku.................
Dr. Hamza majombo
Dar es salama-Tanzania 🇹🇿
✅wasapp
☎+255 679 039 663
✅ calls
✅ txt sms
✅ imo
✅Tele gram
✅ insta gram @majombotz1
✅YOU TUBE @https://youtu.be/AeEItrJpSNk
majombotz@gmail.com
🌵Dr. Hamza majombo ni Daktari bingwa wa tiba za mitishamba na mimea lishe alosoma na kusomesha.
Kwa tatizo lolote la kiafya mtafute ,
# Ushauri bureeee
,👣Anapatikana Mbagala- kizuiani,Tandika,Charambe.
🚦Mungu yu pamoja nawe
Comments
Post a Comment