NINI MAANA YA BAWASIRI?


 

____________________________
UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, AINA ZAKE, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE .
^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^

Bawasiri ni nini
-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama ambacho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk
▶️Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins(kiingereza) sehemu ya haja kubwa hivyo kupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu,viuvimbe... .
______________________________
+255 679 039 663
Dr. Hamza majombo

Comments