*VIAGRA INA MADHARA KWA AFYA YAKO*
Historia ya 'viagra' ama dawa za kuongeza nguvu za kiume inajulikana sana.
Viagra ilitengenezwa kwaajili ya matibabu ya moyo,na sio nguvu za kiume.
Dawa inayotumiwa leo kwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume iligunduliwa kwa bahati mbaya: "Tulikuwa tukitengeneza dawa ya angina, tatizo la moyo," Dkt. Mitra Boolell, ambaye alifanya kazi katika idara ya utafiti ya Pfizer nchini Uingereza, anaiambia BBC Brazil.
"Wakati huo baadhi ya washiriki wa majaribio ya kliniki walianza kuripoti kuwa nguvu za kiume zaidi kuliko kawaida. Hapo awali hatukuzingatia sana, tulifikiri ni kwa sababu washiriki walikuwa vijana."
Kwaio ndugu zangu epukeni matumizi ya vidonge hivyo vinavyowamaliza wanaume wengi hadi baadhi yao kupoteza maisha wakiwa gesti.
Dr. Hamza majombo
Majombo company
+255679039663
Comments
Post a Comment