MORINGA OLEIFERA
(Mlonge)
Baadhi ya sifa kuu za huu mmea ni.
Dr.Hamza majombo.
0679039663
1.Kupambana na wadudu wa Bakteria pamoja na Fangasi mwilini.
2.Kuimarisha seli za mwili.
3.Kuondoa vimbe mwilini.
3.Kupunguza mawazo.
4.Kuondoa mafuta machafu mwili.
5.Hupunguza sukari iliozidi mwilini.
6.Husaidia ufanyaji kazi wa Ubongo.
7.Huondoa sumu mwilini.
8.Hutibu magonjwa ya maambukizi katika mfumo wa mkojo. (U. T. I)
9.Husaidia kutibu vidonda.
10. Hutibia maradhi ya tumbo.
Imeandaliwa na Dr. Hamza majombo.
Comments
Post a Comment